NEW AUDIO:”Besha Shigana”,Rabbit.www.tonytz.blog

Rabit kaka Sungura 001
TONYTZ.BLOG/All the way from Nairobi-Kenya rapper  Rabbit a.k.a Kaka Sungura ameachia single hii mpya inayoitwa  “Besha Shigana”,jina la wimbo huu limetoka kwenye lugha ya Kabila la Kikuyu linalopatikana nchini Kenya akimaanisha “kiasi gani cha pesa”.Production ya vocal na beat imefanywa na producer anaefahamika kama Richy Bitz.

No comments:

Post a Comment