Drake na Future watajwa kama most stylish men na jarida la GQ.

by tony tz1

Baaada ya Mixtape yao ya pamoja waliyoipa jina “What Time To Be Alive” kupata mafanikio,rappers Drake na Future wamejumuishwa kwenye list ya 13 Most Stylish Men in the world na jarida la GQ.
                                                           Future & Drake.
Drake ambae his new album “Views From The 6″inatarajiwa kutoka on April 29,ametajwa kama “The Coziest Baller”,kutokana na mtindo wake wa kuvaa mavazi yasiyombana,yanayovutia kutazamwa na yenye nakshi za kimichezo.

View image on Twitter
Kwa upande wake rapper Future ambae album yake ya “Evol” inazidi kufanya vizuri sokoni ametajwa kama “Lord Of The Brim” kutokana na mtindo wake wa kuvaa kofia zinazofahamika kama wide-brimmed hats.
View image on Twitter
GQQQQQ

No comments:

Post a Comment