Mbali na Kuimba “Rich Mavoco” pia ni Director wa Video

 
  Dr Mwaka - Foreplan Clinic
 Mkali wa vocal kama anavyo jiita Rich Mavoco anaetamba kwa ngoma kibao mpaka sasa tangu alipo achia
ngoma yake ya Silali mpaka sasa ambapo ana hit song ya Pacha Wangu,amefunguka na Team tz na kusema kwamba pia yeye ni Director wa kimya kimya kwani amesha wahi kuongoza ata baadhi ya video zake.
 Mkali wa vocal kama anavyo jiita Rich Mavoco anaetamba kwa ngoma kibao mpaka sasa tangu alipo achia ngoma yake ya Silali mpaka sasa ambapo ana hit song ya Pacha Wangu,amefunguka na Team tz na kusema kwamba pia yeye ni Director wa kimya kimya kwani amesha wahi kuongoza ata baadhi ya video zake.
Mavoco aliyasema hayo wakati akiwa Location waki shoot video ya msanii mwenzake “Darasa” ambapo yeye ameshirikishwa tu kwenye nyimbo hiyo.Video hiyo ikiwa imesimamiwa na dir Hanscana mabapo na yeye Rich Mavoco alisshiriki na kuongoza video hiyo.

No comments:

Post a Comment