Unapenda Bongo Movie? List ya washindi wa Tuzo za Filamu 2015 pamoja na pichaz viko hapa !!Ijumaa ilikuwa siku ya fainali ya Tuzo za Watu kwa mwaka 2015, majina ya washindi yakaingia kwenye headlines mitandaoni na kwenye vyombo vya habari jana.. Jana hiyohiyo kingine kikubwa kwenye historia ya Filamu Tanzania nacho kikaingia kwenye headlines, ilikuwa usiku wa Tuzo za Filamu Tanzania 2015 kwa mara ya kwanza.

Shughuli yote ilikuwa pale Mwalimu Nyerere International Conference Center Dar es Salaam, na hapa naanza na list ya washindi waliopatikana:-
Be actress in leading role- Irene Paul 
Best comedian- King Majuto 
Best supporting actress- Grace Mapunda
Best supporting actor (Male) – Tino Hisani Muya 
Best screenplay- Irene Sanga 
Tribute Award (Film Industry Support) – President Jakaya Kikwete 
Tribute Personality Award- Steven Kanumba 
Tribute Media- Zamaradi Mketema (Takeone Clouds TV) 
Life Time Achievement Award- Mzee Jangala 
Best Director- John Kalaghe

No comments:

Post a Comment