mike scotter ni msanii mpya wa mziki nchini tanzania,
waimbaji wengi wakitanzania.mike scotter akizungumza
na tonytz.blog amesema kuwa anauwezo mkubwa sana
kushindawasanii wengi wa kibongo na tofauti yake yeye anaweza
kubadilika wakati wowote kutokana na soko la mziki tanzania linavyo badilika.
No comments:
Post a Comment