USKOSE KUFUATILIA MASHINDANO YA UDO STREET DANCE TAREHE 5, JUMAPILI HII NDANI YA MAISHA CLUB.


yale mashindano ya UDO EAST AFRICA STREET DANCE bado yanaendelea kupamba moto siku baada ya siku kwa mkoa wa dar es salaam, kesho ndio atapatikana mshindi tonytz.blog itakuwa ikiendelea kukufahamisha kinachio endelea mwazo hadi mwisho wa mashindano

No comments:

Post a Comment