Chris Brown anafikiria kumuoa girlfriend wake Karrueche Tran


zuma1
Chris Brown na girlfriend wake Karrueche wapo kwenye uhusiano mzuri hivi sasa tofauti na watu wengi walivyokuwa wanafikiria wiki chache zilizopita.

Wiki iliyopita Karrueche alitumia ukurasa wake wa instagram kumsifia Chris Brown na watu walidhani kwamba anajaribu kujiweka karibu na Breezy. Lakini wiki hii Chris amepost picha ya Karrueche na kuandika maneno mazuri kuhusu msichana huyo.
Chris Brown ameandika kwamba “Karibia miaka 5 bado Karrueche yupo pamoja na yeye, Anahitaji kuwa Karrueche kikamilifu na kuacha kucheza”.
train

No comments:

Post a Comment