(newz) WATANZANIA ZAIDI YA ELFU TATU WAJITOKEZA KATIKA MAANDALIZI YA VIDEO YA MRISHO MPOTO; WAITE

story na tonytz watanzania zaidi ya elfu tatu wajitokeza katika maandalizi ya video mpya ya mrisho mpoto (waite)
mrisho mpoto amesema kuwa hajawahi kuona wito wa watu wengi kama watu walivyo jitokeza kwenye maandalizi ya video ya waite ambayo imemalizika kuandaliwa hivi karibuni.

ambapo kunatofauti kubwa na kati ya video ya waite na video nyinginezo ambazo alizowahhii kuzifanya.
mrisho mpoto amesema kuwa sio mda mrefu anategemea kuachia video yake mpya, ambayo imejaa mashahiri yakutosha pamoja na ujumbe mkubwa kwa jamii.kwani kila siku huwa nafikilia atawafanyia nini washabiki wake na wala sifikilii washabiki wake wata nifanyia nini. nahii nitofauti kubwa na wasanii wengine wakitanzania wanataka kupata faida kubwa kwa mashabiki bila kujuwa walicho kifanya.
habari hii imeletwa kwenu kwa udhamini wa tigo

No comments:

Post a Comment