Music Industry ya Tanzania bado iko kwenye “Growing phase” things are 
not balanced yet because of Matatizo fulani sugu ambayo mwisho wake 
unakuja kutokana na mabadiliko ya Teknolojia na matumizi yake.Kama nchi 
nyingine na kama sector zingine za kibiashara tutapitia hizi phases 
mpaka vitu vitakaa sawa.Mziki
 umekuwa mgumu na ndio unalipa zaidi hii ni
 moja ya changamoto na mafanikio yake.Wale ambao wameanza hii safari 
siku nyingi,msikate tamaa huu ndio muda wa kujipanga upya na 
kucapitalize. Kama we ni mfanya biashara unayependa kuinvest in long 
term business,the time is now! Ngoma bado mbichi hii,anza leo  
 
No comments:
Post a Comment