AY. afunguka kuhusia na Mziki wa kibongo

story: Nice_daddy
masanii maarufu kutoka pande za mbeya anefaamika zaidi kama AMBWENE YESAYA  maarufu kama AY ,amesema mpaka sasa mziki wakibongo umekuwa tofauti na kipindi cha nyuma kwani hapo  zamani tulipokuwa tukifanya muziki
tulikuwa tukijulikana kama wa huni kln sasa sivyo kama ilivyo zoeleka mwanzo kiukweli sasa hivi musiki wa kibongo umekuwa sasa ni bihashara kubwa yenye ushindani nainayo waingizia kipato kikubwa wasanii wetu wa kitanzania mafanikio tumeanza kuyapata tangu tuanze iuboresha kazi zetu ktk upande wa video na Audio nanimekuwa mfano mkubwa kwa wasanii wenzangu kwakufanya video kari zenye ubora wa hali ya juu kuliko wasanii wote tanzania mpaka hilo jambo limefanya video zetu ziwe kurushwa ktk tv kubwa Afrika nakushilikishwa ktk tuzo kubwa za video bora Afrika.naiyo ndio tafauti kubwa tuliyoweza kufanya tofauti natulivyo anza kufanya Muziki MUNGU ibariki Afrika MUNGU ibaliki TANZANIA.aliyase hayo AY kupitia tony tv.(story imeandikwa na Nice_daddy.

No comments:

Post a Comment