(Photo’s) Maelfu ya wakazi wa TANGA wafurika kutizama show ya FLORA MBASHA katika UWANJA WA TANGAMANO

Mwanamziki Flora Mbasha pichani akiwa na mumewe siku ya jana katika kiwanja cha Tangamano kilichopo mkoa wa Tanga wakiwapa mashabiki wao neno la bwana. Nimtoka kuongea na Flora akaniambia wanamshukuru mungu kwani umati unaokuja kwenye show zake ni mkubwa sana na jioni ya leo watakuwa hapo hapo viwanja vya Tangamano na bado wako Tanga mpaka tarehe 1 mwezi wa 12.


1450815_454549691323689_367609204_n

1422631_454549661323692_1939420161_n

kiukweli hapa duniani tunaishi lakini kunahaja kubwa sana ya kumkumbuka mungu kwa sababu tunaishi kwa 
neema. kunahaja kubwa  kila binadau kile anacho kiamini kama ndio mungu wake.
1470114_454556394656352_1322693589_n

sasa unaweza kutangaza biashara yako kwa bei nafuu zaidi.
kwa mawasiliano zaidi 0718 922425


No comments:

Post a Comment