Waziri
wa Ujenzi Mh. Dkt. John Magufuli (kushoto) leo amekutana na Waziri wa
Uchukuzi kutoka Malawi Mh.Sidik Mia (wapili pichani kutoka kulia) pamoja
na Ujumbe wake jijini Dar es Salaam.Pichani( katikati) ni Katibu Mkuu
wa Wizara hiyo Balozi Herbet Mrango...............
Waziri
wa Ujenzi Mh. Dkt. John Magufuli (kushoto) akiongea na Waziri wa
Uchukuzi wa Malawi Mh. Sidik Mia(kulia) alipomtembelea ofisini kwake leo
jijini Dar es Salaam(katikati) ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Balozi
Hebert Mrango.
Waziri
wa Ujenzi Mh. Dkt, John Magufuli (alienyanyua mkono) akiongea na ujumbe
kutoka Malawi alipokutana nao leo ofisini kwake jijini Dar es Salaam
Waziri
waUjenzi Mh. Dkt. john Magufuli (kushoto) akimkabidhi nyaraka Waziri
wa Uchukuzi wa Malawi Mh. Sidik Mia (kulia) leo jinini Dar es
Salaam,walipokutana na kuzungumza masuala mbalimbali yakiwemo kuimarisha
ushirikiano katika nyaja za usafirishaji .(katikati) Katibu Mkuu wa
Wizara ya Ujenzi Balozi Hebert Mrango.
Waziri
wa Ujenzi Mh. Dkt. John Magufuli (kushoto) akiaagana na Waziri wa
Usafirishaji kutoka Malawi (kulia) Mh. Sidik Mia pamoja na baadhi ya
ujumbe wake baada ya kumtembelea ofisini kwake leo jijini Dar es
salaam,(katikati mwenye tai nyekundu) ni Waziri wa Nishati wa Malawi Mh.
Ibrahim Matola.
No comments:
Post a Comment