Rich Mavoko anasema kwamba kwenye wimbo mpya anazungumzia hali ya
mapenzi ambayo upo na mpenzi wako, lakini umefika wakati ambapo unataka
aende zake akuachie roho yako. Kutokana na matatizo yanayowatokea mkiwa
ndani ya hayo mapenzi, ndipo unaamua kuachana na huyo umpedaye na
akuachie roho yako. Sikilizana download huo wimbo hapa
No comments:
Post a Comment