KUTANGAZA BIASHARA NASISI AU KUTUMA VIDEO NA AUDIO 0684 524265
PHOTOS" HUU NDIO MUONEKANO MPYA WA KIRI RECORDS.
kili records kwa sasa imeboleshwa kisasa zaidi, na imekuwa na muonekano wa kisasa. kiri records imepata mproducer mwingine anaye fahamika kama rash don, baada ya c9 kufungua studio yake mwenyewe.na habari mpya kwa sasa kiri records kinondoni studio. huyu hapa chini ndiye producer rash don.
No comments:
Post a Comment