Ommy
Dimpoz akiwa na mwenyeji wake DMK katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa
wa Dulles uliopo Sterling, Virginia mara tu alipowasili kwa ajili ya
shoo yake ya Jumamosi Sept 21, 2013 DMV.
Faraji
Nyembo 'Ommy Dimpoz' baada ya kuwasili Marekani jana na kupokelewa na
wenyeji wake. Ommy Dimpoz anatarajiwa kufanya shoo ya kwanza Jumamosi ya
wiki hii Washington DC, itakayofuatiwa na shoo ya pili Houston Sept 28
na shoo ya tatu Los Angeles Okt 5 kisha atarejea Tanzania kwa ajili ya
kuhitimisha Serengeti Fiesta 2013.
No comments:
Post a Comment