
Ni show ambayo ticket zimeisha na inaingia kwenye list yangu ya show za Fiesta zilizovunja rekodi mwaka huu…. Thank you watu wangu wa nguvu Mbeya 87.8, sasa inafata zamu ya Iringa 92.9 Jumapili hii september 8 2013 tunakuja hapo.


rich mavoko

shilole

hawa nibaadhi tuu ya wakazi wa mbeya walio huthulia










young killer


No comments:
Post a Comment