Choka sana midaa hii,nimewasili mkoani Tabora
mahususi kabisa kwaajili ya Fiesta mkoani humu hapa nipo na Flowers,Linah Sanga na Mwasiti Almasi uwanja wa Ndege wa mkoani Humu, mashabiki wa Tabora basi siku ya kesho midaa ikiwadia tusogee uwanja wa Ali hassani Mwinyi uje uoene muziki mzuri FIESTA 2013- twenzetu sasa.... |
No comments:
Post a Comment