ametangaza huivi karibuni kuacha kuvaa heleni masikioni katika movie zake.
hemed amesema kuwa hakuna watu mimi ninao waheshimu kama mashabiki wangu,
wengi walikuwa hawapendezewi na kitu nilicho kuwa nikifa hasa nilipo pokuwa nikivaa
heren masikioni
kiukwe ilinichukuwa mda mrefu sana mimi kulifanya jambo hilo kutokana na jambo hili,
sijakulupuka kulifanya na sijajuta kuliacha coz wapo mashabiki wangu walio kuwa wakipenda ninapo vaa heren na wapo waliokuwa hawapendi kabisa kabisa swala hili, nakuanzia sasa nitatangaza kuwa sitakuwa nikivaa heleni tena kwenye movie zangu japo japo kunawatu wanadai kuwa nitapoteza mauzo.
je wewe unamaoni gani na jambo hili??????????
No comments:
Post a Comment