Cover La Album Mpya Ya Drake Na Tarehe Ya Kutoka.


Cover na tarehe ya kutoka kwa album ya Rapper wa Young Money, Drake Imetoka. Album hii ya Nothing Was The Same. Kwenye website ya Drake Ya OvoSound.com amethibitisha kuwa September 24 2013
ndio siku album itakuwa sokoni kwa mara ya kwanza.
Cover la album hii limetengenezwa na Kadir Nelson aliye tengeneza cover la Michael Jackson kwenye album ya Michael.
Cover moja linaonyesha Drake akiwa mtoto na Lingine akiwa Mkubwa.

No comments:

Post a Comment