the asaph team wanayo furaha kubwa kuitambulisha kwako nyimbo yao mpya ee bwana, moja ya nyimbo inayopatikana katika album yao.
HALLSON MWALIMU WA KWAYA AKIZUNGUMZIA KUHUSU MIPANGO YA KWAYA HIYO, NDANI YA KITUO KIPYA CHA RADIO YA ONLINE 1FM NA MMOJA WA WATANGAZAJI WA KITUO HICHO TONY TZ. BONYEZA HAPA CHINI KUSIKILIZA INTERVIEW NA NYIMBO YAO !!!!!!!!!!!!. kwaya ya the asaph team kimara imeachia single nyingine hapa unaweza kudownload na kusikiliza hapa kuwasiliana na mwalimu wa kwanya hii piga +255 715 929 983
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Ni utunzi uliotungwa kwa umakini na ufasaha.
ReplyDeleteMungu awabariki sana katika safari ya kuihubiri injili ya Kristo.