MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI DANIELY MWEINYEKULE ANAMANENO HAYA KWAKO.
MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI DANIELY MWEINYEKULE ANAYO FURAHA KUBWA, KUKUARIKA LEO THUR, AUG 4, 2016 ATAKUWA PRAIS POWER RADIO KATIKA KIPINDI CHA SIFA MOTO KUANZIA SAA SABA MCHANA HADI SAA KUMI JIONI, ANA UJUMBE WAKO MZITO KWA WATU WOTE USIKOSE KUMSIKILIZA, AKIWA NA MTANGAZAJI WAKO HODARI BM MAGUPHA, JUDITH NJOLE NA DJ DEVI KWENYE MASHINE USKOSE. KAMA ULIKOSA KUISIKIA NYIMBO YAKE INAPATIKANA HAPA.
No comments:
Post a Comment