KUTANGAZA BIASHARA NASISI AU KUTUMA VIDEO NA AUDIO 0684 524265
VIDEO: Clouds Media wameingia makubaliano na Azam TV, Ndondo Cup 2016 Live TONYTZ.BLOG/
TONYTZ.BLOG/Baada ya kufanyika kwa mashindano ya Ndondo Cup
kufanyika kwa mafanikio mwaka 2015, good news ni kuwa mashindano hayo
yanazidikukuwa siku hadi siku, Clouds Media na Azam Tv wameingia
makubaliano ya kurusha matangazo mechi hizo Live, makubaliano hayo
yamefanyika na kusainiwa na mkuu wa vipindi wa Clouds FMShaffih Dauda na mkurugenzi wa Azam Media LtdRhys Torrington.
No comments:
Post a Comment