Hatimaye wakala namba moja wa wanasoka bora ulimwenguni, Jorge Mendes
jana alifunga ndoa na mchumba wake wa siku, Sandra Barbosa.
Sherehe ya ndoa ilihudhuriwa na mastaa mbalimbali wa soka ulimwenguni,
huku Cristiano Ronaldo, mteja mkuu wa Mendes akiwa ‘mpambe rasmi’ wa
bwana harusi.

Cristiano Ronaldo akiingia kanisani
Wageni waalikwa wengine walikuwa ni kocha wa zamani wa Manchester United
Sir Alex Ferguson, Raisi wa Real Madrid, Florentino Perez, James
Rodriguez, Jose Bosingwa na Deco De Souza pamoja na Pepe.

Mwanasoka Pepe wa Real Madrid nae alikuwepo

Mchezaji wa zamani wa Chelsea na Barcelona Deco De Souza

James Rodriguez wa Real Madrid nae alihudhuria

Bwana Harusi Jorge Mendes

Jose Bosingwa – mchezaji wa zamani wa Chelsea

Rais wa Real Madrid Florentino Perez
No comments:
Post a Comment