MWIMBAJI WA KUNDI LA MAFIKIZORO THEO KGOSINKWE AKIFANYA MAZAMBI YAKE.
DANCERS WA MAFIKIZORO WAKIFANYA YAO JUKWAANI.
WATU WAKIBURUDIKA NA BURUDANI KUTOKA KWA MAFIKIZORO
JOCELYNE MARO NA WAKAZI WAKITAZAMA SHOW YA MAFIKIZORO.
WADAU WA BURUDANI TOKA SEHEMU MBALI MBALI WAKIWA KATIKA FORENI YAKUKATA TIKETI ZA KUINGIA KWENYE SHOW.
WATOTO WAZURI WAKISUBIRI BURUDANI.
WADAU WAKITOKEREZEA KATIKA PICHA
No comments:
Post a Comment