KUTANGAZA BIASHARA NASISI AU KUTUMA VIDEO NA AUDIO 0684 524265
TIGO YAZIDI KUWAWEZESHA WATEJA WAKE KUMILIKI BIASHARA ZAO WENYEWE KUPITIA PROMO YA BAJAJI
Mshindi
wa droo ya 7 ya promosheni ya Tigo ‘Miliki Biashara Yako’ Bi. Linda
Ndalu (28) akifurahia Bajaji yake mpya yenye thamani ya Tsh 6,700,000
mara baada ya kukabidhiwa katika hafla fupi iliyofanyika Buguruni chama
leo jijini Dar es Salaam. Mtaalam
wa masoko na biashara kutoka Tigo Bw. Gaudens Mushi (kushoto)
akimpongeza Bi. Linda Ndalu (28) mjasiriamali, mkazi wa Sinza kwa
kujishinda Bajaji katika promosheni ya ‘Miliki Biashara Yako’.
Mshindi
wa droo ya 7 ya promosheni ya Tigo ‘Miliki Biashara Yako’ Bi. Rose
Lukindo (45) ambaye ni mfanyakazi wa Manispaa wa Ilala akipokea darasa
la jinsi ya kutumia Bajaji aliyoshinda kutoka kwa Mtaalam wa Masoko na
Biashara Tigo Bw. Gaudens Mushi. Mfanyakazi
wa Manispaa ya Ilala Bi. Rose Lukindo (45) akionyesha ufunguo wa Bajaji
mpya alioshinda katika promosheni ya Tigo ‘Miliki Biashara Yako’ mara
baada ya kukabidhiwa zawadi hiyo mapema leo Buguruni Chama, jijini Dar
es Salaam. Mtaalam
wa masoko na biashara kutoka Tigo Bw. Gaudens Mushi akimwelekeza
mshindi wa promosheni ya ‘Miliki Biashara Yako’ Bw. Dotto Omari (33)
kitufe cha kuwashia Bajaji mara baada ya kumkabidhi zawadi hiyo katika
hafla iliyofanyika leo Buguruni chama, jijini Dar es Salaam.
Mtalaam
wa Masoko na Biashara kutoka Tigo Bw,. Gaudens Mushi (kushoto)
akimpongeza mshindi wa droo ya 7 katika promosheni ya ‘Miliki Biashara
Yako’ Bw. Abdallah Abdallah (36) mkazi wa Mbezi anayefanya kazi za
ufundi wa magari mara baada ya kumkabidhi Bajaji yake katika hafla
iliyofanyika leo Buguruni chama, jijini Dar es Salaam.
Mshindi
wa droo ya 7 katika promosheni ya ‘Miliki Biashara Yako’ Bw. Abdallah
Abdallah (36) mkazi wa Mbezi anayefanya kazi za ufundi wa magari
akionyeshea ufunguo wa Bajaji aliyoshinda mara baada ya kukabidhiwa na
Mtalaam wa Masoko na Biashara
Mtaalam
wa masoko na biashara kutoka Tigo Bw. Gaudens Mushi (watatu kutoka
kulia) akifurahi kwa pamoja na washindi wa promosheni ya Tigo ‘Miliki
Biashara Yako’ waliokabidhiwa Bajaji zao leo Buguruni chama, jijini Dar
es Salaam.
Wadau wa Tigo waliojikusanya maeneo ya Buguruni chama kwa ajili ya kushuhudia makabidhiano hayo ya Bajaji mapema leo.
No comments:
Post a Comment