AJALI KUBWA IMETOKEA USIKU HUU KATI YA COSTER NA LORI BONYEZA HAPA UPATE HABARI KAMILI.

WATU KADHAA AMBAO IDADI YAO BADO HAIJAFAHAMIKA WAHOFIWA KUPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI MBAYA ILITOKEA ENEO LA LUSANGA USIKU HUU.

habari zilizotufikia muda huu TOKA ktk chumba chetu cha habari hapa TNEWSTZ zinasema, watu kadhaa wanasadikiwa KUPOTEZA Maisha Kufuatia ajali mbaya iliyotokea usiku huu katika eneo la LUSANGA, MUHEZA mkoani Tanga
AJALI hiyo imehusisha gari la abiria aina ya coster na lori Taarifa kutoka Muheza zinasema inasemekana 
Waliofariki ni watu 4, wanawake 2 na wanaume 2,
Majeruhi 15 
tutaendelea kuwapa taarifa zaidi

No comments:

Post a Comment